Mkurugenzi wa Idara ya sheria wa Vodacom Tanzania,Nina Pendael Eshun (katikati) pamoja na wadau wa sekta ya Mawasiliano wakifatilia kwa umakini hotuba ya Waziri wa Ujenzi ,Uchukuzi na Mawasiliano Prof.  Makame M.Mbarawa(hayupo pichani)wakati wa uzinduzi wa huduma ya kuhama kutoka mtandao mmoja wa simu kwenda mwingine bila kubadili namba ya simu ya kiganjani inayojulikana kitaalamu zaidi kama (Mobile Number Portability (MNP).Hafla hiyo ilifanyika makao makuu ya  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) jana jijini Dar es Salaam.
 . Waziri wa Ujenzi ,Uchukuzi na Mawasiliano, Prof.Makame M.Mbarawa akiongea na wadau mbalimbali wa Masuala ya Mawasiliano wakati wa Uzinduzi wa huduma ya kuhama kutoka mtandao mmoja wa simu kwenda mwingine bila kubadili namba ya simu ya kiganjani inayojulikana kitaalamu kama (Mobile Number Portability(MNP),Hafla hiyo ilifanyika kwenye ukumbi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA)  jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Ujenzi ,Uchukuzi na Mawasiliano, Prof.Makame M.Mbarawa(kushoto)akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Idara ya sheria wa Vodacom Tanzania,Nina Pendael Eshun(kulia) pamoja na wadau wa masuala ya mawasiliano, mara baada ya Uzinduzi wa huduma ya kuhama kutoka mtandao mmoja wa simu kwenda mwingine bila kubadili namba ya simu ya kiganjani inayojulikana kitaalamu zaidi kama (Mobile Number Portability (MNP).Hafla hiyo ilifanyika makao makuu ya  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)  jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi ,Uchukuzi na Mawasiliano Prof.  Makame M.Mbarawa akiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali wanaotoa  huduma za mawasiliano za simu za mkononi,Watatu kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya sheria wa Vodacom Tanzania,Nina Pendael Eshun,Mara baada ya Waziri huyo  kuzindua rasmi huduma ya kuhama kutoka mtandao mmoja wa simu kwenda mwingine bila kubadili namba ya simu ya kiganjani inayojulikana kitaalamu zaidi kama (Mobile Number Portability (MNP).Hafla hiyo ilifanyika makao makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)  jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...