Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakivuna mahindi shambani kwao kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani kukamilisha msimu wa mavuno ambao amesema umekuwa mzuri mwaka huu
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiendelea na kazi ya kuvuna
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia mavuno mema
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiendelea kuvuna mahindi shambani kwao kijijini Msoga
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakifurahia mavuno mema ya mahindi shambani kwao kijijini Msoga
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakifurahia mavuno mema ya mahindi shambani kwao kijijini Msoga.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...