
Wachezaji wa timu ya Bandari
Tanga wakichuano na timu ya Scopion ya Arusha ambapo Bandari Tanga
iliendelea kung'ara kwa kuibuka na ushindi wa vikapu 91 kwa 60 kwenye
mashindano ya Kilimanjaro Cup yanayoendelea kwenye viwanja vya KCMC
Mjini Moshi


Wachezaji wa timu ya Bandari
Tanga wakichuana na timu ya Scopion ya Arusha ambapo Bandari Tanga
iliendelea kung'ara kwa kuibuka na ushindi wa vikapu 91 kwa 60 kwenye
mchezo uliochezwa kwenye viwanja vya KCMC Mjini Moshi.

Wachezaji wa timu ya Bandari
Tanga wakipewa mawaidha na Kocha Mkuu wa timu hiyo,Mohamed Fazal wakati
wa mapumziko katika mchezo wa michuano ya kikapu ya Kilimanjaro Cup
ambapo Bandari Tanga illibuka na ushindi wa vikapu 91 kwa 60 ambapo leo
Bandari watawavaa timu ya Mtwara.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...