Leo Jumanne,Septemba 5,2017
Asubuhi Saa 2:00 -300: Chai nyumbani kwa Marehemu, Mbezi Msigani.
Asubuhi Saa 3:00- 5:00:Ibaada Kanisa la KKT Mbezi Luisi,lilipo Kibanda cha Mkaa,Mbezi.
Saa 5:00-6:00:Msafara kwenda Viwanja vya Mnazi Mmoja.
Mchana Saa 6:00-8:00: Hafla ya kuaga mwili Mnazi Mmoja
Mchana Saa 8:00-8:20:Kuelekea Kinondoni Makaburini
Mchana Saa 8:20-9:00:Maziko Kinondoni Makaburini.
Jioni Saa 9:00-10:00:Kurejea nyumbani kwa Marehemu Mbezi Msigani
Kwa Mawasiliano zaidi:
Stella Nyemenohi 0758295529
Joyce Mmasi 0714233929
Sanduku
lenye mwili wa Marehemu Muhingo Rweyamamu,nyumbani kwake tayari kwa
ratiba ya kuagwa mapema leo katika viwanja vya Mnazi mmoja na baadae
maziko yake kufanyika katika makaburi ya Kinondoni,jijini Dar Es Salaam
Pichani
kulia Waziri wa Habari,Sanaa,Utamaduni na Michezo Mh.Dkt Harrison
Mwakyembe akizungumza na ndugu wa marehemu jana usiku nyumbani kwa
marehemu Muhingo kwa ajili ya kufariji wafiwa.
Waziri wa Habari,Sanaa,Utamaduni na Michezo Mh.Dkt Harrison Mwakyembe akisaini kitabu cha maombolozo jana usiku nyumbani kwa marehemu
Muhingo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...