Wajumbe
wa kamati Maalum iliyoundwa na Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli wakiendelea na majadiliano na timu kutoka
kampuni ya Barrick Gold Corporation leo Septemba 7, 2017 kuhusu madai ya
Tanzania juu ya upotevu wa fedha nyingi katika biashara ya madini ya
dhahabu inayofanywa na kampuni hiyo hapa nchini. Majadiliano hayo
yanafanyika jijini Dar es salaam
Home
HABARI
WAJUMBE WA KAMATI MAALUM ILIYOUNDWA NA RAIS DKT.MAGUFULI WAENDELEA NA MAJADILIANO NA TIMU KUTOKA KAMPUNI YA BARRICK GOLD CORPORATION
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...