Mshindi wa Shindano lasingeli Michano Bagamoyo Dogo Zero, akiwarusha wakazi wa Bagamoyo mara baada ya kutangazwa Bingwa wa Shindano hilo lililofanyika katika viwanja vya Toptop Bagamoyo.
Watangazaji wa kipindi cha Genge na ma MC wa shindano la Singeli Michano Pido Samio Love wakati wa shindano la Singeli Michano Bagamoyo katika programu ya Nje Ndani ya Efm iliyofanyika katika Viwanja vya Toptop Bagamoyo.
Mmoja wa Washiriki wa Shindano la Singeli Michano kupitia programu ya Nje Ndani ya Efm
Mashabiki wa Efm Radio wakifatilia shindano la Singeli Michano Bagamoyo kupitia proglamu ya Nje Ndani
Majaji wa Shindano la Singeli Michano wakiwa na Dj Autorun wakishuhudia washiriki wanavyochuana katika shindano la Singeli Michano
Mashabiki wakicheza mara baada ya kutangazwa mshindi wa singeli michano
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...