Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda wakati alipotembelea Ofisi za Mkuu wa Mkoa jijini Dar es Salaam leo. Katika Kikao hicho, Mkuu wa Mkoa aliahidi kushirikiana na Jeshi hilo kwa kuliongezea vitendea kazi ili liweze kujidhatiti katika kukabiliana na majanga mbalimbali.
Kamishna Jenerali wa
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye akimkabidhi zawadi ya Kalamu
yenye ujumbe wa namba ya dharura 114 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda
mara baada ya kumaliza mazungumzo yao wakati alipotembelea Ofisi za Mkuu wa
Mkoa jijini Dar es Salaam leo. Katika Kikao hicho, Mkuu wa Mkoa aliahidi
kushirikiana na Jeshi hilo kwa
kuliongezea vitendea kazi ili liweze kujidhatiti katika kukabiliana na majanga
mbalimbali
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,
Thobias Andengenye, akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, mara
baada ya kumaliza mazungumzo yao wakati alipotembelea Ofisi za Mkuu wa Mkoa jijini
Dar es Salaam leo. Katika Kikao hicho, Mkuu wa Mkoa aliahidi kushirikiana na
Jeshi hilo kwa kuliongezea vitendea kazi ili liweze kujidhatiti katika kukabiliana
na majanga mbalimbali.
Mkuu wa Mkoa wa Dar
es Salaam, Paul Makonda akiwa katika picha ya pamoja na Kamishna Jenerali wa
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, mara baada ya kumaliza
mazungumzo yao wakati alipotembelea Ofisi za Mkuu wa Mkoa jijini Dar es Salaam
leo. Katika Kikao hicho, Mkuu wa Mkoa aliahidi kushirikiana na Jeshi hilo kwa
kuliongezea vitendea kazi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...