Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Adam Kigoma Malima kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 28, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Alexander Pastory Mnyeti kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 28, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe.Bi. Christine Solomon Mndeme kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kabla ya kumbadilisha na kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, kubadilishana na Dkt. Bilinith Mahenge anayehamia Dodoma Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 28, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Thomas Didimu Kashililah kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya KilimoIkulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 28, 2017 .
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...