Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso akikagua mabomba yatakayotumika
kusambazia maji kwa mradi wa Maweso akiwa na Mbunge wa Jimbo la Madaba, Joseph
Mhagama katika Wilaya ya Madaba, mkoani Ruvuma.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso akikagua ujenzi wa tenki la maji la
mradi wa Lolindo na Mbunge wa Jimbo la Madaba, Joseph Mhagama ambao utekelezaji
wake unaendelea katika Wilaya ya Madaba, mkoani Ruvuma.
Mhandisi wa Mkoa wa Ruvuma, Jones Kimaro (kulia) akitoa maelezo kwa Naibu Waziri
wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso katika kitekeo cha maji ikiwa ni sehemu ya mradi
wa Lilondo katika Wilaya ya Madaba, mkoani Ruvuma.
Mradi wa mfano uliotekelezwa na wakazi wa Lilondo, ambao wametumia teknolojia ya
kienyeji ya kukusanya maji kwa mabomba kutoka milimani na kuyahifadhi kwenye
bwawa walilochimba na kuyasambaza kwa wananchi kupitia mitaro waliyochimba kwa
gharama zao wenyewe ili kukabiliana na changamoto ya maji katika kijiji chao.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...