Mvua kubwa ikiambatana na upepo mkali iliyonyesha usiku wa jana mkoani Tabora imesababisha madhara makubwa kwa baadhi ya miundombinu pamoja na nyumba ikiwemo Shule ya Msingi Kanyenye ambayo paa lake lote limeezuliwa likisalia darasa moja pekee.
Shule ya Msingi Kanyenye mkoani Tabora ikiwa imeezuliwa paa kufuatia mvua kubwa na upepo mkali
Walimu na wanafunzi wa Shule ya Msingi Kanyenye wakiwa katika taharuki baada ya kukuta paa la shule limeezuliwa na mvua na upepo mkali
Hali ilivyo katika Shule ya Msingi Kanyenye
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...