--
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni kupitia Chama Cha Mapinduzi Maulidi Mtulia akizungumza kuomba kura katika Mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika Viwanja vya Makumbusho Jijini Dar es Salaam.
Mbunge wa Jimbo la Mtera Livingstone Lusinde akizungumza kumnadi mgombea mara baada ya kupokea wafuasi wawili kutoka CHADEMA ambao kwa hiari yao wenyewe wameamua kujiunga na CCM.
Kampeni Meneja wa Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi katika Kinyang'anyiro cha Ubunge Kinondoni, Iddi Azzan akizungumza wakati alipokuwa akimnadi mgombea wa Chama chake Maulid Mtulia.
Wabunge wa Chama Cha Mapindzui wa Mkoa wa Dar es Salaam wakifatilia mkutano wa Kampeni
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni kupitia Chama Cha Mapinduzi Maulidi Mtulia akizungumza kuomba kura katika Mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika Viwanja vya Makumbusho Jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya Wananchi wakifatilia mkutanowa Chama Cha Mapinduzi katika kata ya Makumbusho

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...