Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mohammed Aboud Mohammed kulia akizungumza na Ujumbe wa Mwezi Mwekundu wa Emarates kuhusiana na utiliaji saini Ujenzi wa Nyumba za msaada kwa waathirika wa mafuriko Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mohammed Aboud Mohammed aliesimama kulia akiwa pamoja na Msaidizi Balozi wa Emarates, Muhammed Ibrahim Al-Bahri wakishuhudia utiaji saini Ujenzi wa Nyumba za msaada kwa waathirika wa mafuriko Zanzibar.
Mkurugenzi wa Kamisheni ya Maafa zanzibar Shaaban Seif Mohammed akibadilishana hati ya saini na Mkurugenzi wa Maafa wa Emarates, Said Mohammed Al-humaini kuhusiana na Ujenzi wa Nyumba za msaada kwa waathirika wa mafuriko Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mohammed Aboud Mohammed akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Mwezi Mwekundu wa Emarates baada ya kutiliana saini Ujenzi wa Nyumba za msaada kwa waathirika wa mafuriko Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...