Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Dk.Leonard Maboko akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao kwa ajili ya usambazaji wa ripoti ya tathmini ya mazingira ya kisheria katika mwitikio wa ukimwi kilichoanza leo Mkoani Dodoma.
Baadhi ya washiriki wa kikao kwa ajili ya usambazaji wa ripoti ya tathmini ya mazingira ya kisheria katika mwitikio wa ukimwi wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) Dk.Leonard Maboko(hayupo pichani) wakati akizungumzia hali ya maambukizi ya UKIMWI nchini.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...