Naibu Waziriwa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Kilwa Kusini (hawapo pichani), wakati wa mkutano wa hadhara ambapo aliwaasa wananchi hao kushirikiana na vyombo vya Ulinzi na Usalama kufichua wahalifu ikiwa ni kuisaidia serikali katika adhma ya kukomesha matendo ya uhalifu nchini.Mkutano huo umefanyika katika Viwanja vya Maalim Seif,Kilwa Kusini.
Mkuuwa Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi, Christopher Ngubiagai akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Kilwa Kusini (hawapopichani), wakati wa ziara ya Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni.Mkutano huo umefanyika katika Viwanja vya Maalim Seif,Kilwa Kusini.
Naibu Waziriwa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na baadhi ya wananchi wa Wilaya ya Kilwa Kusini baada ya kumaliza mkutano wa hadhara ambapo aliwaasa wananchi hao kushirikian ana vyombo vya Ulinzi na Usalama kufichua wahalifu ikiwa ni kuisaidia serikali katika adhma ya kukomesha matendo ya uhalifu nchini.
Wananchi wa Wilaya ya Kilwa wakimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupopichani), akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara ambapo aliwaasa wananchi hao kushiriki ana na vyombo vya Ulinzi na Usalama kufichua wahalifu ikiwa ni kuisaidia serikali katika adhma ya kukomesha matendo ya uhalifu nchini.Mkutano huo umefanyika katika Viwanja vya Maalim Seif,Kilwa Kusini.PichanaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi.
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI -WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...