Kwa mwaka huu kauli mbiu ni Kuelekea Uchumi wa Viwanda tuimarishe usawa wa kijinsia na Uwezeshaji waWanawake Vijijini.
Wafanyakazi wanawake wa benki ya TIB banki corporate ltd wa tawi la Samora wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa kushehereka siku ya wanawake duniani.
Siku
ya Wanawake ilianza mwanzoni mwa miaka ya 1900 kwa kupitia wanawake
wafanyakazi wa sekta ya viwanda nchini Marekani walioandamana kupinga
mazingira duni ya kazi zao, walilalamikia ukosefu wa huduma za kijamii
na kuwepo kwa vitendo vya unyanyasaji katika ajira.
"Kwa mwaka huu kauli mbiu ni Kuelekea Uchumi wa Viwanda tuimarishe usawa wa kijinsia na Uwezeshaji waWanawake Vijijini."
Mkurugenzi mikopo wa benki ya TIB Corporate banki ltd, Adolphina william, meneja wa huduma kwa wateja
Magreth Mulenga kwa pamoja na mteja wa benki hiyo wakikata keki
kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja katika benki yao.
benki ya TIB Corporate banki ltd ikiwa ni siku ya wanawake duinani ambayo hufanyika kila mwaka Machi nane.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...