Mkazi wa Iringa, Mafinga Ndugu Mathias Edward (25) ambaye pia ni
mshindi wa bajaji kupitia promosheni inayoendeshwa na kampuni ya michezo
ya kubashiri SportPesa wakishirikiana na kampuni ya mtandao wa simu na
wadhamini ya ligikuu Tanzania Vodacom wamemkabidhi bajaji hiyo mnano
tarehe tisa mwezi huu.
Alizungumza wakati wa makabidhiano yaliyoongozwa
na mchezaji wa klabuya Simba Siza KichuyaNdugu Mathias alisema
“Niliunganishwa na mjomba wangu ambaye makazi yake hasa ni mkoani Dodoma
yeye ni mchezaji mzuri kwahiyo alinishawishi ili na mimi niweze
kujiunga nakucheza.
Kupitia
bajaji hii itanisaidia kubadili maisha yangu na kuanza rasmi
kujitegemea kimaisha nikiwa kama kijana nayekaribia umri wa miaka 28.
Nikiwa kama kijana msomi mwenye stashahada ya ukutubi nilihangaika sana
kutafuta ajira na mwisho ya siku nikaamua kujiingiza kwenye maswala ya
kilimo ili kuinuaki patochangu.

Nilikuwa
nachezana SportPesa kwanjiaya USSD ambayo napiga*150*87#, urahisi ambao
upo kwenye SportPesa na ndio unaotofautisha na kampuni nyingine za
michezo ya kubashirini kwamba viwango vya kampuni nyingine za
kubashirini vya juu sana lakini kwa kampuni kama SportPesa viwango vyao
ni vizuri, rahisi sana kushindana kila kitu kiko wazi.
Akizungumza
wakati wa makabidhiano ya bajaji mchezaji mahiri watimu ya Simba Shiza
Ramadhani Kichuya alisema “Kwanza kabisa napenda kukupongeze kwa zawadi
hii uliyoishinda kwa kupitia ubunifu wako mwenyewe, ninaimani kuna watu
wengi ambao wanatamani siku moja washinde kama wewe ulivyobahatika na
inakubidi uwe mfano kwao kwa kuwaelekeza ili nao waweze kubahatika”
“Mimi nikiwa kama mchezaji wa timu kubwa inayoshiriki ligi kuu Taanza
rasmi kuchezana SportPesa iliniwezekuibuka mshindi siku moja” alimaliza
Kichuya
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...