Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza Mkutano wa Bunge
la Kumi na Moja la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Mbunge wa kuleuliwa, Salma Kikwete, Bungeni Mjini Dodoma Aprili 9, 2018.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Suleiman Jaffo, akizungumza na Waziri wa Madini, Angela Kairuki, Bungeni Mjini Dodoma Aprili 9, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi, Joseph Kakunda, Bungeni Mjini Dodoma Aprili 9, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, Bungeni Mjini Dodoma Aprili 9, 2018.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...