Mkuu wa mkoa wa Ruvuma CHRISTINA MNDEME amewaagiza viongozi wote wa halimashauri katika mkoa huo kuhakikisha kuwa wanawachukulia hutua wale wote wanaohusika kuwapa mimba watoto wa shule.
Hayo ameyabainisha wakati wa kujadili tathimini ya elimu baada ya kubainika wanafunzi wengi wanajiusisha na mapenzi na kupelekea mkoa huo kufanya vibaya katika matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2017.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...