Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Mhe. Christina Mndeme ameifutia leseni kampuni ya Zuma Cargo kwa upotevu wa tani 15 za korosho ambazo hazijulikani ziliko na kuiagiza Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa mkoa wa Ruvuma kuhakikisha wanafanya uchunguzi wa jambo hilo.
Home
Unlabelled
RC MNDEME AIFUTIA LESENI KAMPUNI YA ZUMA CARGO KWA UPOTEVU WA TANI 15 ZA KOROSHO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...