Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akisalimiana na maofisa wa Jeshi la Magereza, baada ya kuwasili kwa ziara ya kikazi katika Chuo cha Magereza ,kilichopo Ukonga,jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akipita mbele ya Maofisa wa Jeshi la Magereza, baada ya kuwasili kwa ziara ya kikazi katika Chuo cha Magereza ,kilichopo Ukonga,jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akimsikiliza Inspekta Carlos Hanga(kulia) , wakati alipotembelea Kiwanda cha Magereza Ukonga,kinachojishughulisha na uchongaji wa thamani za ndani na ufumaji wa nguo,jijini Dar es Salaam.Waziri Lugola yuko kwenye ziara ya kikazi baada ya kuteuliwa kuongoza wizara hiyo
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akikagua ubora wa samani inayotengenezwa katika Kiwanda cha Magereza, kilichopo Gereza la Ukonga,jijini Dar es Salaam, wakati wa ziara ya kutembelea Jeshi la Magereza.Kulia  ni Kamishna wa Jeshi la Magereza, Dk.Juma Malewa.
Inspekta wa Jeshi la Magereza, Carlos Hanga akitoa maelezo ya kiufundi kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, ambaye yuko katika ziara ya kikazi katika Kiwanda cha Gereza kilichopo Ukonga,jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...