Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe (mwenye suti katikati) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko (kulia) wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Songoro MarineTransport Ltd, Bw. Salehe Songoro mara baada ya kukagua ujenzi wa kivuko kipya cha MV Mwanza kinachojengwa katika Ziwa Vitoria kwa ajili kutoa huduma katika kivuko cha Busisi - Kigongo mjini Mwanza. 
 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe (mwenye suti katikati) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko (kulia) wakitoka katika kivuko cha MV Mwanza kinachojengwa na Kampuni Songoro MarineTransport Ltd , kushoto mweny overall ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo, Bw. Salehe Songoro mara baada ya kukagua ujenzi wa kivuko kipya cha MV Mwanza kinachojengwa katika Ziwa Vitoria kwa ajili kutoa huduma katika kivuko cha Busisi - Kigongo mjini Mwanza. 


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...