Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Mhe. Dkt. Angeline
Mabula akitoa Salaam za Siku ya Makazi Duniani katika ukumbi wa Treasury Square – Dodoma.
Mkurugenzi wa Idara ya Utawala; Bwn. Tutubi Mangazeni, watendaji kutoka Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na baadhi ya watumishi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakifuatilia kwa makini Salaam za Mhe. Mabula katika Maadhimisho ya Siku ya Makazi Duniani.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Mhe. Dkt. Angeline Mabula na Katibu wa Wizara; Bi Dorothy Mwanyika wakisalimiana na baadhi ya wananchi wa eneo la Chang’ombe – sokoni waliojumuika nao katika kufanya usafi wa eneo hilo katika kuadhimisha Siku ya Makazi Duniani.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Mhe. Dkt. Angeline Mabula na Katibu wa Wizara; Bi Dorothy Mwanyika wakishirikiana na baadhi ya wananchi wa eneo la Chang’ombe – sokoni na viongozi wa eneo hilo katika kufanya usafi wa eneo hilo katika kuadhimisha Siku ya Makazi Duniani.
Wadau mbalimbali wakishirikiana na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Wananchi wa eneo la Chang’ombe katika kufanya usafi katika eneo hilo kuadhimisha Siku ya Makazi Duniani.
Picha ya pamoja ya Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Mhe. Dkt. Angeline Mabula na baadhi ya Watumishi wa Wizara katika Maadhimisho ya Siku ya Makazi Duniani
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...