Mtawala wa Ras al khaima Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi akipeana mikono na Viongozi mbalimbali alipokua akiondoka Zanzibar na kurejea nyumbani.
Mtawala wa Ras al khaima Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi akipita katika zulia kuelekea kwenye ndege tayari kwa kuiondoka Zanzibar na Kurejea nyumbani.
Mtawala wa Ras al khaima Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi akiagana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Issa Haji Ussi(Gavu)alipokua akiondoka Zanzibar na kurejea nyumbani.
Mtawala wa Ras al khaima Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi akipunga mkono ikiwa ni ishara ya kuaga wakati akipanda ndege na kuondoka Zanzibar na kurejea nyumbani.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...