Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, akizungumza wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika NMB Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Mmoja wa wateja wa Benki ya NMB, Isaac Joseph Kessy akikabidhiwa cheti na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa benki, Ruth Zaipuna. Kulia ni Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam, Badru Idd na Kushoto ni Meneja wa NMB Mlimani City Seka Urio.

Sehemu ya wafanyakazi wa NMB wakiwa katika majadiliano Makao Makuu ya NMB ikiwa ni sehemu ya maadhimisho uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja wa NMB.

Baadhi ya wafanyakazi wa NMB kutoka kitengo cha ‘HR Support’ makao makuu ya benki hiyo wakikata keki kujipongeza kwa kitengo hicho kutimiza mwaka mmoja kwa mafanikio ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja wa NMB.

Keki ikiandaliwa na kitengo cha ‘HR Support’ makao makuu ya Benki ya NMB tayari kwa kuliwa na washiriki. 



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...