Mmoja waendesha Pikipiki Katika Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani akiwa amepakia Mzigo wa Mkaa kuzidi uwezo wa chombo chake akipita katika Barabara ya Kilwa kuelekea Dar es Salaam, hali inayohatarisha usalama wake.
Wasafirishaji wa Mkaa kwa kutumia Baiskeli katika kata ya Vianzi wakielekea barabarani kwa ajili ya kutafuta Masoko
Wachimbaji wadogo katika Mgodi wa Mwanadilatu wakidandia gari ambalo limefika mgodini hapo kwa ajili ya kupakia Mchanga (PICHA ZOTE NA HUMPHREY SHAO)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...