Waziri wa Ulinzi na JKT, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi akisalimiana na mmoja wa askari wa JKT alipofanya ziara yake ya kutembelea miradi mbalimbali ya SUMAJKT,ambapo leo Oktoba 04,2018 ametembelea miradi ya SUMAJKT iliyopo kwenye Kikosi cha Ruvu JKT mkoani Pwani. Miongoni mwa miradi aliyotembelea ni pamoja na ufugaji na utotoreshaji wa vifaranga vya kuku na samaki aina ya kambale na kiwanda cha ushonaji nguo cha Ruvu.
Waziri wa Ulinzi na JKT, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi akitazama sehemu ya ufugaji samaki aina ya kambale
Waziri wa Ulinzi na JKT, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi akipewa maelezo mafupi na mmoja wa askari wa JKT  kuhusu ufugaji wa samaki aina ya Kambale,Waziri Mwinyi ameendelea kufaya ziara yake ya kutembelea miradi mbalimbali ya SUMAJKT,ambapo leo Oktoba 04,2018 ametembelea miradi ya SUMAJKT iliyopo kwenye Kikosi cha Ruvu JKT mkoani Pwani. Miongoni mwa miradi aliyotembelea ni pamoja na ufugaji na utotoreshaji wa vifaranga vya kuku na samaki aina ya kambale na kiwanda cha ushonaji nguo cha Ruvu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...