Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akizungumza na baadhi ya
watoto na wazazi waliofika katika Tamasha la “Twende9teen” lilioandaliwa
na Benki ya CRDB kupitia akaunti za “Junior Jumbo” na “Young Money
Teens”, lililolenga kuwahamasisha wazazi na walezi kuwafungulia watoto
wao akaunti na kuwawekea akiba ili kutimiza ndoto za watoto wao hususani
katika nyanja ya elimu, Tamasha hilo limefanyika leo katika viwanja vya
Mlimani City, jijini Dar es salaam ambapo Watoto walipata fursa ya
kucheza michezo mbalimbali iliyoandaliwa kwa ajili yao. Walioketi
kushoto ni Naibu Wakurugenzi Watendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Joseph
Witts pamoja na Esther Kitoka.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akizungumza na
baadhi ya watoto na wazazi waliofika katika Tamasha la “Twende9teen”
lilioandaliwa na Benki ya CRDB kupitia akaunti za “Junior Jumbo” na
“Young Money Teens”, lililolenga kuwahamasisha wazazi na walezi
kuwafungulia watoto wao akaunti na kuwawekea akiba ili kutimiza ndoto za
watoto wao hususani katika nyanja ya elimu, Tamasha hilo limefanyika
leo katika viwanja vya Mlimani City, jijini Dar es salaam ambapo Watoto
walipata fursa ya kucheza michezo mbalimbali iliyoandaliwa kwa ajili
yao.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia) pamoja na Naibu
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Esther Kitoka wakishiriki
kuwafunguliwa watoto zawadi za pipi, katika Tamasha la “Twende9teen”
lilioandaliwa na Benki ya CRDB kupitia akaunti za “Junior Jumbo” na
“Young Money Teens”, lililolenga kuwahamasisha wazazi na walezi
kuwafungulia watoto wao akaunti na kuwawekea akiba ili kutimiza ndoto za
watoto wao hususani katika nyanja ya elimu, Tamasha hilo limefanyika
leo katika viwanja vya Mlimani City, jijini Dar es salaam ambapo Watoto
walipata fursa ya kucheza michezo mbalimbali iliyoandaliwa kwa ajili
yao.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akijaza fomu ya kuweka
hela kwenye akauti ya Junior Jumbo katika gari maalum la Benki ya CRDB
wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Twende 9nteen JJ leo katika viwanja vya
Mlimani City jijini Dar es salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akimuuliza swali mmoja wa watoto katika Tamasha hilo.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...