Wakazi wa mkoa Dar es Salaam na baadhi wageni mbalimbali waliwasili kutoka mikoani kwa ajili ya kusherehekea Sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya wakiwa kwenye pilipilika za kununua mahitaji mbalimbali kwenye Soko la Karikoo leo. (Picha na Emmanuel Massaka, MMG)
Wakazi wa mkoa Dar es Salaam na baadhi wageni mbalimbali waliwasili kutoka mikoani kwa ajili ya kusherehekea Sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya wakiwa kwenye pilipilika za kununua mahitaji mbalimbali kwenye Soko la Karikoo leo.(Picha na Emmanuel Massaka, MMG)
Sehemu ya umati wa watu uliofurika katika mtaa wa Congo katika soko kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam kwajili ya maandilizi ya Sikukuu za Chrismas na Mwaka Mpya wa 2019.
Sehemu ya Wakazi wa Dar es Salaam wakichagua nguo na viatu katika Mtaa wa Congo- Kariakoo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...