RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Nchini Tanzania Dkt. Tigest Ketsela Mengestu, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar leo 4/12/2018, kushoto kwa Rais, Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed, anayefuata Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Nchini Tanzania, Dkt. Tigest Ketsela Mengestu, alipofika Ikulu Zanzibar leo, 4/12/2018 kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na mgeni wake Mwakilishi wa Mkaazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Nchini Tanzania Dkt. Tigest Ketsela Mengestu, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar leo, 4/12/2018.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...