Wananchi wa Mbagala Rangi tatu jijini Dar es Salaam wakiwa katika kituo cha mabasi cha Mbagala kikiwa kimejaa maji kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam na mikoa ya Pwani (Picha na Emmanuel Massaka,MMG)
Wananchi wakikatiza kwenye maji yaliyojaa kituo cha mabasi Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam.
Wananchi wakikatiza kwenye maji
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...