Mtaalam Manunuzi,Bw. Jones Mapunda kutoka Kitengo cha Usimamizi wa Maboresho ya Mahakama, akitoa mafunzo ya Usimamizi wa Mikataba kwenye ukumbi wa kitengo hicho.
Baadhi ya viongozi wa Mahakama ya Tanzania na Watumishi wakiwa katika mafunzo ya Usimamizi wa Mikataba yaliyofanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Kitengo cha Usimamizi wa Maboresho ya Mahakama.
Mtaalam Manunuzi,Bw. Jones Mapunda kutoka Kitengo cha Usimamizi wa Maboresho ya Mahakama, akitoa mafunzo ya Usimamizi wa Mikataba kwenye ukumbi wa kitengo hicho kwa viongozi na Watumishi wa Mahakama. (Picha na Magreth Kinabo).
Mkuu wa Kitengo cha Usimamizi wa Maboresho ya Mahakama, Mhe. Zahra Maruma akifafanua jambo wakati wa mafunzo ya Usimamizi wa Mikataba yaliyofanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Kitengo cha Usimamizi wa Maboresho ya Mahakama.
Mtendaji wa Mahakama ya Rufaa, Bw. Solanus Nyimbi akifunga mafunzo ya Usimamizi wa Mikataba yaliyofanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Kitengo cha Usimamizi wa Maboresho ya Mahakama.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...