Shabiki
wa Simba, Arsenal na Real Madrid, Simon Eusebi Muray (32) ameshinda
kitita cha Sh 81,097, 540. Baada ya kutabiri kwa baada ya kubashiri kwa
usahihi mchezo wa Perfect 12 wa kampuni ya M-Bet.
Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa fedha zake jana, Muray ambaye ni mkazi wa Katesh, Hanang, mkoa wa Manyara amesema kuwa atatumia fedha hizo kuongeza mashamba ya vitunguu, kuboresha nyumba yake na kupanua duka la bidhaa za rejareja kuwa la jumla.
Muray alisema kuwa mbali ya kujiendeleza katika masuala ya kilimo, pia atafungua ofisi ili kufanya shughuli zake za kilimo na biashara kisasa zaidi.
“Nina mashamba ya vitunguu eneo la Mkalama, mkoa wa Singida ambayo kutokana na mtaji huu, nitaongeza wigo wa kilimo na vile vile kuboresha nyumba yangu. Nataka kuwa mkulima wa kisasa na mwenye malengo ya kufanya vyema katika sekta hiyo huku nikifanya biashara zangu,” alisema Muray.
Alisema kuwa alipokea taarifa za ushindi kwa furaha sana kwani katika maisha yake, hakutarajia kupata kiasi hicho cha fedha.
“Pia nitamwamisha mtoto wangu wa kutoka shule ya kawaida na kwenda ya kimataifa. Huu ni ushindi wa maana sana kwangu kwani kwa kutumia sh1,000 kushinda kiasi hiki kikubwa cha fedha, ni faraja kubwa sana kwangu, nilianza kucheza muda mrefu na nilibishana na afisa wa M-Bet kwani niliamini kuwa ni matapeli,” alisema.
Meneja Masoko wa Kampuni ya M-Bet, Allen Mushi kuwa Murray anakuwa anakuwa mshindi wa pili wa mwaka huu ikiwa mshindi wa pili kushinda kiasi kikubwa cha fedha tokea kuanza mwaka huu.
“M-Bet ni nyumba ya mabingwa na Murray amejiunga tena na nyumba ya mabingwa kwa kushinda kiasi kikubwa cha fedha ambacho kitabili maisha yake, tunawaomba Watanzania kucheza michezo ya M-Bet ili kuweza kushinda kiasi kikubwa cha fedha na kuanza maisha mapya,” alisema Mushi.

Naye, Shabani Mwanga, Mkuu wa Kitengo cha Kodi za Michezo ya Kubahatisha (TRA), mkoa wa kodi wa Ilala alimpongeza Muray kwa ushindi na pia kuipongeza kampuni ya M-Bet kwa kuwa walipa kodi wazuri kwa serikali.
Meneja Masoko wa
kampuni ya M-Bet Tanzania, Allen Mushi
(Kulia) akimkabidhi mfano wa hundi mshindi wa droo ya Perfect 12, Simon
Murray (Katikati) kutoka Manyara aliyejishindia Sh 81.1milllioni baada ya kubashiri matokeo
ya mechi 12 kwa usahihi. Kushoto ni Shabani Mwanga, Mkuu wa Kitengo cha Kodi za
Michezo ya Kubahatisha (TRA), mkoa wa kodi wa Ilala.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...