Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na
wadau wa Mradi wa Utambuzi wa Wasanii wa Sanaa za Ufundi Tanzania (TACIP)
wakati walipomtembelea ofisi ndogo za Dar es Salaam kwa lengo la kutoa tathmini
ya maendeleo ya mradi huo
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na
wadau wa Mradi wa Utambuzi wa Wasanii wa Sanaa za Ufundi Tanzania (TACIP)
wakati walipomtembelea ofisi ndogo za Dar es Salaam kwa lengo la kutoa tathmini
ya maendeleo ya mradi huo
Rais wa Shirikisho la Sanaa za Ufundi Tanzania (TAFCA) Bw.
Adrian Nyangamalle (kulia) akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe wakati walipomtembelea ofisi ndogo za
Dar es Salaam kwa lengo la kutoa tathmini ya maendeleo ya Mradi wa Utambuzi wa
Wasanii wa Sanaa za Ufundi Tanzania (TACIP).
Mkurugenzi wa Biashara na Uhusiano toka DataVision
International, Bi. Teddy Qirtu (kulia) akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) wakati
walipomtembelea ofisi ndogo za Dar es Salaam kwa lengo la kutoa tathmini ya
maendeleo ya Mradi wa Utambuzi wa Wasanii wa Sanaa za Ufundi Tanzania (TACIP),
katikati ni Rais wa Shirikisho la Sanaa za Ufundi Tanzania (TAFCA) Bw. Adrian
Nyangamalle.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison
Mwakyembe akiangalia kadi ya utambuzi wa wasanii wa sanaa za ufundi wakati
alipotembelewa na wadau wa Mradi wa Utambuzi wa Wasanii wa Sanaa za Ufundi
Tanzania (TACIP) katika ofisi ndogo za Dar es Salaam kwa lengo la kutoa
tathmini ya maendeleo ya mradi huo.
Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari na Mawasilano (TEHAMA)
toka DataVision International, Dkt. Dkt. Shaban Kiwanga ( kulia) akifafanua
jambo kwa Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) wakati walipomtembelea
ofisi ndogo za Dar es Salaam kwa lengo la kutoa tathmini ya maendeleo ya Mradi
wa Utambuzi wa Wasanii wa Sanaa za Ufundi Tanzania (TACIP), wa pili toka kushoto ni Rais wa Shirikisho la
Sanaa za Ufundi Tanzania (TAFCA) na wa pili kulia ni Mkurugenzi wa Biashara na
Uhusiano toka DataVision International, Bi. Teddy Qirtu.
Kaimu Katibu Mtendaji toka Baraza la Sanaa la Taifa
(BASATA), Bw. Onesmo Kayanda (kushoto) akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe wakati wadau wa Mradi wa
Utambuzi wa Wasanii wa Sanaa za Ufundi Tanzania (TACIP) walipomtembelea Waziri
Mwakyembe katika ofisi ndogo za Dar es Salaam kwa lengo la kutoa tathmini ya
maendeleo ya mradi huo.
Picha na WHUSM – Dar es Salaam.









Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...