Afisa kutoka Wizara ya
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Omary Kinyange, akitoa elimu kwa
madereva wa malori kuhusu utumikaji wa sheria mpya ya Afrika Mashariki ya
Udhibiti wa Uzito wa magari katika mzani wa Makambako uliopo mkoani Njombe.
Sheria hiyo inatarajiwa kuanza kutumika tarehe 1 Machi, 2019

Muonekano wa lori likipima
uzito katika mzani wa Makambako, mkoani Njombe. Wasafirishaji wanaendelea
kupewa elimu ya Sheria mpya ya Udhibiti wa Uzito wa magari ya Jumuiya ya Afrika
Mashariki itakayoanza kutumika tarehe 1 Machi, 2019

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...