MBUNGE wa Viti Maalum wa Mkoa wa
Mjini Mhe.Asha Abdalla Juma pamoja na Katibu wa UWT Wilaya ya Amani
Ndugu Asha Mzee wakiwa wamebeba Komputa na Printer zenye Thamani ya
Shilingi Milioni 1.5 zilizotolewa na Mbunge huyo.

MBUNGE wa Viti Maalum wa Mkoa wa
Mjini Mhe.Asha Abdalla Juma (kushoto),akikabidhi Vitendea kazi kwa
Katibu wa UWT Wilaya ya Amani Ndugu Asha Mzee ambavyo ni Komputa Moja na
Printer Moja ya kisasa ya rangi vyenye thamani ya shilingi Milioni 1.5
Katibu wa UWT Wilaya ya Amani Ndugu Asha Mzee(kushoto).

KATIBU wa CCM Wilaya ya Amani Ali
Salum Suleiman akitoa shukrani kwa Mbunge wa Viti Maalum wa Mkoa wa
Mjini Mhe.Asha Abdalla Juma na kuahidi kuwa miongozo aliyotoa kupitia
hotuba yake itafanyiwa kazi kwa Vitendo.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...