Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Khamis Kigwangalla (kushoto) akizungumza jambo huku Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Ally Laay, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela na Mkewe Bi Sekita Nsekela katika hafla fupi ya Iftar iliyoandalia na Benki hiyo kwa wateja wake na Watoto Yatima, iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji ambaye alikuwa mgeni rasmi katika hafla fupi ya Iftar iliyoandalia na Benki ya CRDB kwa wateja wake na Watoto Yatima, akipongezwa baada ya kuhutubia na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Khamis Kigwangalla, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Ally Laay (kulia), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa tatu kulia) na Kamanda wa Polisi Mstaafu Kanda ya Dar es salaam Suleiman Kova.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto), Kaimu Mufti, Sheikh Hamid Masoud Jongo (kulia) wakimsikiliza Mbunge wa Sumbawanga Mjini,Aeshi Hilaly baada ya hafla fupi ya Iftar iliyoandalia na Benki hiyo kwa wateja wake na Watoto Yatima, iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji akitoa hotuba yake katika hafla fupi ya Iftar iliyoandalia na Benki hiyo kwa wateja wake na Watoto Yatima, iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Ally Laay akizungumza.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akizungumza.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...