Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM- Zanzibar, Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein , Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Phillip Mangula wakiimba wimbo wa Chama mara baada ya kuwasili ukumbini katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha halimashauri kuu ya Chama hicho (NEC) kilichofanyika jijini Dar es Salaam.June 27,2019
Wajumbe wa halimashauri kuu ya CCM Taifa (NEC) wakiimba wimbo wa Chama mara baada ya kuwasili ukumbini Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha halimashauri kuu ya Chama hicho (NEC) kilichofanyika jijini Dar es Salaam.June 27,2019
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika kikao cha halimashauri kuu ya Chama Mapinduzi Ccm Taifa (NEC) kilichofanyika jijini Dar es Salaam.June 27,2019

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM- Zanzibar Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Dkt. Ali Mohhamed Shein wakati wa kikao cha halimashauri kuu ya Chama hicho (NEC) kilichofanyika jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo katika cha halimashauri kuu ya Chama hicho (NEC) kilichofanyika jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar na mjumbe halimashauri kuu ya Chama Mapinduzi Taifa Mhe. Zuberi Ali Maulid katika kikao cha NEC kilichofanyika jijini Dar es Salaam.June 27, 2019
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mwenyekiti wa Ccm mkoa wa Arusha na mjumbe halimashauri kuu ya Chama Mapinduzi Taifa Loata Sanare katika kikao cha NEC kilichofanyika jijini Dar es Salaam.June 27,2019
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa halimashauri kuu ya Chama Mapinduzi Taifa Mizengo Pinda mara baada ya kikao cha NEC kilichofanyika jijini Dar es Salaam.June 27,2019
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mjumbe wa kamati kuu mpya aliyeteuliwa katika kikao cha NEC ambaye pia ni mjumbe wa halimashauri kuu ya Chama Mapinduzi Taifa Munde Tambwe mara baada ya kikao cha NEC kilichofanyika jijini Dar es Salaam.June 27,2019

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...