![]() ![]() ![]()
Ndege ya Abiria ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL aina na Airbus A220-300 ikipakia abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kabla ya kuondoka kuanza safari yake ya kwanza ya kuelekea nchini Afrika Kusini Ijumaa tarehe 28/06/2019.
Ndege ya Abiria ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL aina na Airbus A220-300 ikiruka kuelekea nchini Afrika Kusini Ijumaa tarehe 28/06/2019 ikiwa ni uzinduzi wa Safari yake ya kwanza kwenda nchini humo.
|
Home
HABARI
Shirika la Ndege la Tanzania ATCL laanza safari zake za kwenda Nchini Afrika Kusini Ijumaa tarehe 28/06/2019
Subscribe to:
Post Comments (Atom)







Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...