Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wanne kushoto) akiwa katika picha ya
pamoja na ugeni kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini ulioongozwa na
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini, Dkt. Agnes Kijazi
(wanne kulia) walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Wa tatu kushoto ni Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe.
Injinia. Atashasta Nditiye. Dkt. Kijazi alishinda nafasi ya Makamu wa
Tatu wa Rais wa Shirika la hali ya hewa Duniani (WMO) uchaguzi
uliofanyika tarehe 13 Juni, 2019 Geneva, Switzerland.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini, Dkt. Agnes Kijazi alipomtembelea
leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Katikati ni Naibu Waziri wa
Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Injinia. Atashasta Nditiye. Dkt. Kijazi
alishinda nafasi ya Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la hali ya hewa
Duniani (WMO) uchaguzi uliofanyika tarehe 13 Juni, 2019 Geneva,
Switzerland.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini, Dkt. Agnes Kijazi (kulia)
alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Katikati ni
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Injinia. Atashasta Nditiye

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akiwa katika picha ya
pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini, Dkt. Agnes
Kijazi (kulia) na Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Injinia.
Atashasta Nditiye walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini
Dodoma. Dkt. Kijazi alishinda nafasi ya Makamu wa Tatu wa Rais wa
Shirika la hali ya hewa Duniani (WMO) uchaguzi uliofanyika tarehe 13
Juni, 2019 Geneva, Switzerland.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...