Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega akizungumza wakati wa kuaga miili ya familia Moja akiwemo Mjumbe wa Bodi ya Maziwa Devangwa Mmari waliofariki kwa ajali June 24 Msolwa mkoani Pwani. Ajali hiyo ilisababisha vifo Mjumbe wa Bodi ya Maziwa Devangwa Mmari na Mkewe Anne Mmari pamoja Mjukuu Daniel Mmari.Miili yao imezikwa Jana Tegeta.
 Mjumbe wa Bodi akisaini kitabu cha maombolezo
Katibu wa Chama  cha Wasindikaji Maziwa akisaini kitabu cha maombolezo katika Msiba wa aliyekuwa Mjumbe wa Bodi ya Maziwa Devangwa Mmari kilichotokea Juni 24 Msolwa mkoani Pwani kwa ajali ambayo ilisababisha mauti ya mkewe pamoja na Mjukuu.
 Baadhi ya waombolezaji katika Msiba wa aliyekuwa Mjumbe wa Bodi ya Maziwa Devangwa Mmari kilichotokea Juni 24 Msolwa mkoani Pwani na kufuatiwa kufariki Mkewe pamoja na mkuu wao.
 Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Maziwa katika Msiba wa aliyekuwa Mjumbe wa Bodi hiyo Devangwa Mmari kilichotokea Juni 24 mwaka huu kwa ajali  ambayo ilisababisha Maruti ya Mke wa Mmari na Mjukuu wao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...