Na Chalila Kibuda , Michuzi TV
Serikali imesema inaendelea kujenga Miundumbinu mbalimbali ikiwemo vivuko ili kusaidia mabaharia wanaozalishwa nchini kuweza kutumika katika vivuko hivyo.
Hayo ameyasema Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano- Ujenzi Elias Kwaandikwa wakati ya Maa kizungumza katika maadhimisho siku ya mabaharia Afrika yaliyofanyika katika Chuo cha Mabaharia Dar es Salaam (DMI) jijini Dar es Salaam.
Kwaandikwa amesema katika kuadhimisha siku ya mabaharia ni pamoja na kuangalia changamoto katika sekta katika vyombo vya Bahari.
Amesema Chuo kinazalisha wataalam wenye umahiri hivyo kinapunguzia serikali gharama ya kuchukua.

Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Elias Kuandikwa akipata
Mkufuzi Msaidizi wa Chuo cha Bahari cha Dar es Salaam (DMI) Elia Mahenge
namna ya usalama katika Bahari katika maadhimisho ya Siku ya Bahari
Afrika yaliyofanyika Viwanja vya Chuo cha Bahari Dar es Salaam

Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano-Ujenzi Elias Kuandikwa akipata
maelezo kutoka Kwa Afisa Habari wa Wakala wa Meli nchini (TASAC) katika
maadhimisho ya Siku Bahari Afrika yaliyofanyika Viwanja vya Chuo cha
Bahari Dar es Salaam jijini Dar es Salaam.
Naibu
Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Elias Kuandikwa akipata
maelezo kutoka Kwa Mkufuzi wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam. Mhandisi
Regina Mbilinyi kuhusiana na usalama katika Bahari namna ya kutumia
bidhaa katika maadhimisho ya Siku ya Bahari Afrika yaliyofanyika Viwanja
vya Chuo cha Bahari Dar es Salaam.
Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Elias Kuandikwa akizungumza
na waandishi wa habari kuhusiana na maadhimisho ya Siku ya Bahari Afrika
yaliyofanyika Viwanja Chuo cha Bahari Dar es Salaam.
Wanachama wa Chama cha Bahari Wanawake katika maadhimisho ya Siku ya Bahari Afrika.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...