
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri Mkuu wa Japan, Shinzo Abe baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika kwenye hoteli ya The New Otani iliyopo Tokyo nchini Japan

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu wa Japan, Shinzo Abe baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika kwenye hoteli ya The New Otani ya Tokyo nchini Japan, Agosti 31, 2019. Kutoka kushoto ni Afisa Msimamizi wa Fedha na Mipango wa Zanzibar, Sharif Bakari, Afisa Msimamizi wa Fedha, Wizara ya Fedha Mipango, Athumani Msabila, Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar, Iddi Makame Haji, Kaimu Balozi wa Tanzania Nchini Japan, John Kambona, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar, Amina Khamis Shaaban, Kaimu Mkurugenzi, Idara ya Asia na Australia, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Size Waitara, Mganga Mkuu wa Serikali, Wizara ya Afya, Maendelo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Profesa Bakari Kambi na kulia ni Kamishina wa Fedha za Nje, Wizara ya Fedha na Mipango, John Lubuga.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...