Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kushoto) akiongoza kikao cha kamati ya Bodi ya uwekezaji wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika (hawapo kwenye picha) katika hoteli ya Madinat Al Bahr Business and Spa Mjini Zanzibar, katika Mkutano wa 50 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika ulioanza leo tarehe 30 Agosti, 2019 mpaka tarehe 5 Septemba, 2019


Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na wajumbe wa kamati ya Bodi ya uwekezaji wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika (hawapo kwenye picha) leo katika hoteli ya Madinat Al Bahr Business and Spa Mjini Zanzibar, katika Mkutano wa 50 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika .

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kushoto) akiongoza kikao cha kamati ya Bodi ya uwekezaji wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika (hawapo kwenye picha) katika hoteli ya Madinat Al Bahr Business and Spa Mjini Zanzibar, katika Mkutano wa 50 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika ulioanza leo tarehe 30 Agosti, 2019 mpaka tarehe 5 Septemba, 2019.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...