Waziri wa Kilimo, Mhe. Japhet Hasunga, (kulia), akisikiliza kuhusu elimu ya Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma, kutoka kwa Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Bi. Rehema Mkamba alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonesho ya Nanenane viwanja vya Nyakabindi nje kidogo ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu.
 Mheshimiwa Hasunga, akizungumza jambo na maafisa wa PSSSF kwenye banda la Mfuko huo alipolitembelea
 Afisa Mafao Mwandamizi PSSSF, Bi.Linda Balati (kushoto), akifafanua jambo kwa wanachama wa PSSSF kutoa Benki Kuu ya Tanzania BoT), walipotembeklea banda la Mfukjo huo katika maonesho ya Nanenane kitaifa, viwanja vya Nyakabidni nje kidogo ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu.
Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSSSF, Bi. Rehema Mkamba akitoa elimu ya Hifadhi ya Jamii kwa wanachama hawa waliotembelea banda la Mfuko huo Nanenane Nyakabindi, Simiyu.
 Meneja wa PSSF Mkoani Arusha, Bw. Rajabu Kinande (kushoto), akimhudumia mwanachama aliefika katika banda la Mfuko katika maonesho ya Nanenane Kanda ya Kaskazini viwanja vya Themi, jijini humo.
 Watumishi wa PSSSF wakihudumia wanachama kwenye maonesho ya Nanenane Kanda ya Mashariki Mkoani Morogoro
Mfanyakazi wa PSSSF (kushoto), akimsikiliza kwa makini mwanachama huyu aliyetembeleabanda la Mfuko huo viwanja vya Themi, jijini Arusha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...