Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akipokea zawadi iliyotolewa kwa Rais Dkt. John Magufuli na Kiongozi Mkuu wa Kiroho wa Madhehebu ya Kihindu, Mtukufu Mahant Swami Maharaj (kushoto).Kiongozi huyo wa kiroho yuko nchini kwa ziara ya kikazi.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni,akielekezwa shughuli zinazofanywa na Taasisi ya BAPS Swaminarayan Santha,ikiwepo utoaji wa elimu,huduma za kiafya, inayosimamiwa na Kiongozi Mkuu wa Kiroho wa Madhehebu ya Kihindu, Mtukufu Mahant Swami Maharaj (kushoto).Kiongozi huyo wa kiroho yuko nchini kwa ziara ya kikazi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiagana na Kiongozi Mkuu wa Kiroho wa Madhehebu ya Kihindu, Mtukufu Mahant Swami Maharaj (kushoto).Kiongozi huyo wa kiroho yuko nchini kwa ziara ya kikazi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akiwa katika picha ya pamoja na Kiongozi Mkuu wa Kiroho wa Madhehebu ya Kihindu, Mtukufu Mahant Swami Maharaj (kushoto).Kiongozi huyo wa kiroho yuko nchini kwa ziara ya kikazi.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...