Waziri katika Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Suleiman
Jaffo, akikabidhi cheti cha shukurani kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara
ya DCB, Godfrey Ndalahwa (kushoto), kwa kutambua udhamini wa benki hiyo katika
hafla ya kutoa Tuzo za Ubora wa Elimu Tanzania kwa wanafunzi, walimu, shule,
halmashauri na mikoa waliofanya vizuri
katika mitihani ya taifa mwaka 2019 iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwisho
mwa wiki. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Tamisemi, Godfrey Mweli.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mtaa, Joseph Kandege
(kulia), akishiakana mikono na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB,
Godfrey Ndalahwa baara ya kupokea cheti cha shukurani kutoka kwa Waziri wa Tamisemi,
kutoka na udhamini wa benki hiyo katika hafla ya kutoa tuzo za Ubora wa Elimu
Tanzania kwa wanafunzi, walimu, shule,
halmashauri na mikoa waliofanya vizuri
katika mitihani ya taifa mwaka 2019 iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwisho
mwa wiki.
Mkuu wa Idara ya Wateja Binafsi wa Benki ya Biashara ya DCB, Fredrick Mwakitwange
(kushoto), akimfahamisha Angel Lomwai kuhusu faida ya akaunti maalumu ya mpango
wa elimu ya ‘DCB Skonga’ iliyozinduliwa na benki hiyo hivi karibuni wakati wa hafla
ya utoaji tuzo za Ubora wa Elimu Tanzania kwa wanafunzi, walimu, shule,
halmashauri na mikoa waliofanya vizuri
katika mitihani ya taifa mwaka 2019 iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwisho
mwa wiki.
Ofisa Mahusiano wa
Benki ya Biashara ya DCB, Dalila Issa (wa pili kushoto), akitoa maelezo kuhusu akaunti maalumu ya masuala ya elimu ya DCB
Skonga iliyozinduliwa na benki hiyo hivi karibuni wakati hafla ya utoaji tuzo
za Ubora wa Elimu Tanzania kwa
wanafunzi, walimu, shule, halmashauri na
mikoa waliofanya vizuri katika mitihani ya taifa mwaka 2019 iliyofanyika jijini
Dar es Salaam mwisho mwa wiki.
Baadhi ya wanafunzi waliohudhuria hafla ya utoaji tuzo za Ubora wa Elimu
Tanzania kwa wanafunzi, walimu, shule, halmashauri na mikoa waliofanya vizuri katika mitihani ya
taifa mwaka 2019 iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwisho mwa wiki ambayo DCB
iliidhamini.
Baadhi ya wahudhuriaji katika hafla ya
utoaji tuzo za Ubora wa Elimu Tanzania kwa wanafunzi, walimu, shule,
halmashauri na mikoa waliofanya vizuri
katika mitihani ya taifa mwaka 2019 iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwisho
mwa wiki ambayo DCB iliidhamini wakifuatilia matukio mbalimbali ya utoaji tuzo
hizo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...