JIJI la Dar es Salaam leo hali ya mvua imekuwa kizungumkuti na usafiri nao umekuwa shida kutokana na maji kutatapakaa kila mahali na hivyo kusababisha usafiri kuwa Mgumu kwa kuwa na foleni.
Kwa wanaopita barabara mbalimbali za jiji la Dar es Salaam kuelekea eneo lenye ofisi nyingi la Posta chukueni tahadhali kabla ya kutoka kwa kuangalia ni barabara itakayokuwa na unafuu wa kufika eneo hilo.
Picha hapo juu inaonyesha rangi mbalimbali katika barabara za hapa mjini.
Rangi hizo zinaashiria namna barabara ilivyo kwa sasa kwakuwa rangi nyekundu zaidi ya nyingine zote inaonyesha foleni ambayo inaenda lakini taratibu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...