Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) Bw. Nicodemus Mkama akizungumza mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wakati Kamati hiyo ilipotembelea Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE).
 Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) Bw. Moremi Marwa akizungumza mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wakati Kamati hiyo ilipotembelea Soko hilo.  
 Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) Bw. Nicodemus Mkama akizungumza mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge wakati Kamati hiyo ilipokutana na Watendaji wa Mamlaka hiyo Jijini Dar es Salaam.
Meneja katika Ofisi ya Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) Bw. Emmanuel Nyalali akiwaelezea Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti jinsi soko hilo linavyofanya kazi Jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...