Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa kijiji cha Chikongo wilayani Tandahimba wakati wa ziara ya kukagua utendaji kazi wa idara zilizopo chini ya wizara mkoani Mtwara.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.



Mwananchi wa Kijiji cha Chikongo wilayani Tandahimba,Hassan Mkeli akimuuliza maswali Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(watatu kutoka kulia), wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kijijini hapo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mwananchi wa Kijiji cha Chikongo wilayani Tandahimba, Stanley Alphonce akimuuliza maswali Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(hayupo pichani), wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kijijini hapo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...