Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Duniani (CWP International), Mhe. Shandana Gulzar Khan akipokelewa na Katibu Msaidizi wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, Ndg. Saidi Yakubu, baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kwa ajili ya kushiriki warsha ya Chama cha Wabunge Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CWP Africa Region) iliyoanza leo tarehe 26 - 29 Oktoba, 2019 Katika Hoteli ya Gran Melia Jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Duniani, Mhe. Shandana Gulzar Khan (wa pili kushoto) akiongozana na Katibu Msaidizi wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, Ndg. Saidi Yakubu (kushoto) baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kwa ajili ya kushiriki warsha ya Chama cha Wabunge Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika iliyoanza leo tarehe 26 - 29 Oktoba, 2019 Katika Hoteli ya Gran Melia Jijini Arusha. Wa pili kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Kimataifa Ofisi ya Bunge, Ndg. Herman Berege
Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Duniani, Mhe. Shandana Gulzar Khan (katikati) katika picha ya pamoja na Katibu Msaidizi wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, Ndg. Saidi Yakubu (wa pili kushoto) baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kwa ajili ya kushiriki warsha ya Chama cha Wabunge Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika iliyoanza leo tarehe 26 - 29 Oktoba, 2019 Katika Hoteli ya Gran Melia Jijini Arusha. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Kimataifa Ofisi ya Bunge, Ndg. Herman Berege
Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Duniani, Mhe. Shandana Gulzar Khan (kulia) akizungumza na Katibu Msaidizi wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, Ndg. Saidi Yakubu, Katika Ofisi za uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro baada ya kuwasili kwa ajili ya kushiriki warsha ya Chama cha Wabunge Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika iliyoanza leo tarehe 26 - 29 Oktoba, 2019 Katika Hoteli ya Gran Melia Jijini Arusha. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...